Wakuu wa vyuo vya Afya vya Serikali Tanzania Bara (APHTIT) washiriki baraza la wafanyakazi wa Wizara ya Afya 2026. Ambapo mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa Afya Mhe. Mohammed Omary Mchengerwa. Kikao kilifanyika Mwanza City Mall

Wakuu wa Vyuo vya Afya vya Serikali Tanzania Bara wafanya kikao cha Tathimini ya Mitihani ya muhula wa kwanza 2026/2027. Mgeni Rasmi katika kikao hicho ni Dr Fadhili Lyimo Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mafunzo na Maendeleo ya Rasilimali Watu Wizara ya Afya.