
Wakuu wa Vyuo vya Afya vya Serikali Tanzania Bara wafanya kikao cha Tathimini ya Mitihani ya muhula wa kwanza 2026/2027. Mgeni Rasmi katika kikao hicho ni Dr Fadhili Lyimo Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mafunzo na Maendeleo ya Rasilimali Watu Wizara ya Afya.

